Natafuta Mwenza (Mume)

Natafuta Mwenza (Mume)

Ooohhhhh nimekosa mke hivi hivi, kwa nini baba hukunisomesha ???

Prof J
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Hiyo digree inWea kuwa tatizo embu edit cv
 
Kila la kheri, japo nikiona nyuzi za hivi namkumbuka my G aliyekuwa kanizidi 4yrs na nilimchagua yeye kwasababu niliamini atakuwa mama bora kwa wanangu kutokana na mimi kuamini kuwa mtu mzima kapitia mengi atatulia ila yaliyotokea eh🚶🚶🚶 but huwa namkumbuka sana nikipata kilaji.
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Sifa za huyo mwenza zimenipa ujasiri wa kuanza kukupenda! Hapa natafakari tu how beautiful you are [emoji7]
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Una "future behind" aka seating allowance?
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
ingia pm tuyajenge
 
ingia pm tuyajenge
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 33
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 35-40
-Awe anajishughulisha
 
Back
Top Bottom