Natafuta mwenza (mwanamke)

Natafuta mwenza (mwanamke)

Je huyo kwa avatar ni wewe..??

Wadogo zangu Depal na Darlin ule mwaka nadhani ni huu na Ile Ndoa nadhani tunayo,

Ahsante..!😂😂
😂😂
Dada!!
Fyucha hazband katupia T shirt lina simba. Kwanini lakini?
Ameshadisqualify 🤣
Naogopa, huyo mdudu atatoka kwa T shirt aning’ate.

Ahsante kwa kujali sisi wadogo zako masingle.
Ila naomba uendelee na mkakati wa kutusechia 🤸‍♂️💃💃
 
😂😂😂
Mdogo wangu una hakika ni t-shirt tu ama ni hujaona funguo ya ndinga..??
 
Na kwanini ameweka ndani AC
Mie nina aleji na vipulizo
🤣🤣
Ameongeza kupoteza point.

Gari siku hizi sio deal mjini
Muhimu hela za Uber zisikosekane 😋🥰
 
Na kwanini ameweka ndani AC
Mie nina aleji na vipulizo
🤣🤣
Ameongeza kupoteza point.

Gari siku hizi sio deal mjini
Muhimu hela za Uber zisikosekane 😋🥰
Ha ha haaaaaa
 
Habari ndugu zangu,

Nakuwaga najiuliza sana lini nitapata wangu wa maisha wa aina nimtakaye hata akiwa na mapungufu kidogo basi turekebishane maana mimi pia sijakamilika.

Muda mwingi nawaza kwanini simpati ama wapi nakosea? Nachoko kuwa single na mpweke, najua hali hii mwengi mko naye wadada na wanaume pia kutokana na mazingira/kazi au hata malezi, naomba mwanamke aliye kwenye hali ya uhitaji kama wangu basi tuungane.

Karibu PM mrembo wangu nipo tayari kukupenda, kukuheshimu na kukujali, nitafuta mambo yangu yote na nitaanza maisha mapya na wewe pale utakapokuwa tayari, umri wangu ni miaka 35 naishi Dar es salaam, nafanya biashara ni single baba pia. Nawishi nipate msichana anayejitambua sana bila kujali umri wala kabila.
napenda nipate kuanzia miaka 23 - 34, asiwe mfupi sababu mimi ni mrefu wa wastan.

Naomba nifate PM tufahamiane na maelezo zaidi. WhatsApp +255 743 935 757
Nimefanya ka research kadogo,hizi nyuzi kwa wanaume wenzangu mara nyingi zinaanziaga Alhamisi mpaka Ijumaa jioni zinapotea,J.tatu mpka j.tano huzioni kabisa...
 
ingekuwa unavyomaanisha wewe, kusingekuwa na haja ya kuja hapa JF siku hzi wana site zao unaingia unachagua tu simu moja tu. ila mimi binafsi hayo sio masiha yangu nayoishi
 
Mi natafuta aliyetayari mahari mkononi yaani 😊😊😊 Mahari 50% niongezee mtaji huku tunaendelea na maongezi
biashara utaikuta Insta hukoo @dollrubii_decors atakaewezana aje tuyajenge
 
Habari ndugu zangu,

Nakuwaga najiuliza sana lini nitapata wangu wa maisha wa aina nimtakaye hata akiwa na mapungufu kidogo basi turekebishane maana mimi pia sijakamilika.

Muda mwingi nawaza kwanini simpati ama wapi nakosea? Nachoko kuwa single na mpweke, najua hali hii mwengi mko naye wadada na wanaume pia kutokana na mazingira/kazi au hata malezi, naomba mwanamke aliye kwenye hali ya uhitaji kama wangu basi tuungane.

Karibu PM mrembo wangu nipo tayari kukupenda, kukuheshimu na kukujali, nitafuta mambo yangu yote na nitaanza maisha mapya na wewe pale utakapokuwa tayari, umri wangu ni miaka 35 naishi Dar es salaam, nafanya biashara ni single baba pia. Nawishi nipate msichana anayejitambua sana bila kujali umri wala kabila.
napenda nipate kuanzia miaka 23 - 34, asiwe mfupi sababu mimi ni mrefu wa wastan.

Naomba nifate PM tufahamiane na maelezo zaidi. WhatsApp +255 743 935 757
Ufupi tatizo...
 
Back
Top Bottom