eldora
Senior Member
- Feb 4, 2024
- 129
- 490
Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.