Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Kigezo kimenikosesha penzi la kweli,Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Kila la kheri mdada tall chocolate colour!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigezo kimenikosesha penzi la kweli,Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Kumbe wewe mbibi sio mshangazi!Nilikuwa na miaka 35 wakati TANU inaanzishwa
Mgegedo!ungeandika na faida chache atakazo zipata uyo mtu ingependeza madam
Haujaweka sababu ya kuweka cha ubaguzi wa kabila.Hayawezi kubadilika tafadhali
Nije nikuone au nafasi ishabebwaMimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Mimi ni macrame moshi nakufaa?Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Moshi ya Burundi au.Mimi ni macrame moshi nakufaa?
Nionjeshe kwanza ndio nitakufikiriaMimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Mungu akuongoze vyema kasoro yangu mfupi tu.Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Ulipata? Kama bado nijaribu bahati yangu ila umri ndo kipengele.Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.