Natafuta mwenza mwanamume

Huwa mnataka kweli waume wa kuwaoa au ni swaga tu za kuchangamsha jukwaa?
 
Ila mwanaume mwenye hiyo miaka 40+ ukipatana naye lazima awe na matatizo. Labda ujaribu kwa chipukizi wa miaka 25+ ndio wataweza kukutibia upweke unaouhisi.

Ni wazo langu tu madam
 
Nahisi nakufahamu.

Hii njia ukiyotumia ni mbaya bora ibuka na wale uliokuwa nao wenye wake zao ukiishi nao kwa adabu utatoboa. Ndoa unayotaka kufanya itateguka tu
Ni kina nani hao nlioishi nao
 
duh kweli binadamu tumetofautiana yani
upo 35, mwanaume keshakuachia watoto 2 bado unataka mwanaume tena😲like siriazly🤔?[kwa sauti ya babra yule wa claudzfm]

mm ningekushauri ubaki mwenyewe na wanao uko unakotaka kwenda ni kutafuta stress ingine ĺabda km unatafuta ela ya kusomeshea hao watoto

hlf ndoa sio ya kila mtu.. kuna dem namfaham yy ameshajijua kwa jins alivyo hawez kuishi na mwanaume kwaiyo amejikubali anaishi fresh tu mwenyewe na watoto wake na humuoni akiyumba kimaisha

sore huu ni ushauri tu
 
Ila mwanaume mwenye hiyo miaka 40+ ukipatana naye lazima awe na matatizo. Labda ujaribu kwa chipukizi wa miaka 25+ ndio wataweza kukutibia upweke unaouhisi.

Ni wazo langu tu madam
Mwanaume wake 40 hadi 50 ametulia
 
Samahani Kama ntakukwaza Una offer nni kwenye mahusiano ili uwe asset kuliko kuwa tegemezi

Plz naomba unijibu hili swali
 
SINGO MAZA HALAF SHANGAZI TENA NAONA CHEMBECHEMBE ZA UFEMINIST NAN ATAJIINGZA KWNYE HUO MOTO? WE TAFUTA KIJANA AWE ANAKUCHENYENTA TU UKIWA NA NYEGE KUOLEWA SAHAU
 
SINGO MAZA HALAF SHANGAZI TENA NAONA CHEMBECHEMBE ZA UFEMINIST NAN ATAJIINGZA KWNYE HUO MOTO? WE TAFUTA KIJANA AWE ANAKUCHENYENTA TU UKIWA NA NYEGE KUOLEWA SAHAU
 
Kwani wakurya tumekufabya nini wewe mama
 
Nicheki PM
 
Kila la kheri. Kuna eatu wamrkutana humu wakafunga ndoa na wana maisha ya furaha na ya mfano. Utualike tafadhali kushereheka na penzi lenu.
 
Kama sio bikra usioe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…