Natafuta Mwenza (Mwanaume)

Natafuta Mwenza (Mwanaume)

secy24

New Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
1
Reaction score
5
Naitwa secy nahitaji mwenza sifa zangu
Umri: 34
Dini: Christian
Kazi : mwajiriwa ( Government)
Elimu😀egree
Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa

Naihitaji mwenza mwenye sifa zifuatazo:
Umri: 34-47
Dini: Mkristo
Kazi: awe amejiajiri au kuajiriwa

Kama unajijua mume wa mtu usinitumie sms asante.
 
Ninaomba unitumie namba yako pm nijaribu bahati yangu.Shukrani Secy
 
Kuna nini hii January nyuzi nyingi ni wanaotafuta wenza?

Kila la kheri mamilooh
 
Umri ndo shida kubwa, ngoja niendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom