CalvinD JF-Expert Member Joined Feb 5, 2016 Posts 246 Reaction score 355 Oct 21, 2017 #1 Wasifu wangu Umri: 28 Dini: mkristo Kazi: Nimeajiriwa Natafuta mpenzi baadae awe mke umri kuanzia miaka 26 kushuka chini , awe ameajiriwa au awe na shughuli ya kumuingizia kipato, atokee mikoa ya pwani au kanda ya kaskazini Aliye tayari ani pm
Wasifu wangu Umri: 28 Dini: mkristo Kazi: Nimeajiriwa Natafuta mpenzi baadae awe mke umri kuanzia miaka 26 kushuka chini , awe ameajiriwa au awe na shughuli ya kumuingizia kipato, atokee mikoa ya pwani au kanda ya kaskazini Aliye tayari ani pm
P petrocaptain JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 211 Reaction score 122 Oct 21, 2017 #2 Wanakuja
F Faza1980 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 529 Reaction score 1,001 Oct 21, 2017 #3 Kichwa cha habari tu umekosea, wataona hauko makini na mambo yako..rudi ukaedit kwanza kabla hawajaja
Kichwa cha habari tu umekosea, wataona hauko makini na mambo yako..rudi ukaedit kwanza kabla hawajaja
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Oct 21, 2017 #4 Naona mkuu utaki yakosa mauno ya pwani