Natafuta Mwenza wa kikie

Natafuta Mwenza wa kikie

CalvinD

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2016
Posts
246
Reaction score
355
Wasifu wangu
Umri: 28
Dini: mkristo
Kazi: Nimeajiriwa

Natafuta mpenzi baadae awe mke umri kuanzia miaka 26 kushuka chini , awe ameajiriwa au awe na shughuli ya kumuingizia kipato, atokee mikoa ya pwani au kanda ya kaskazini
Aliye tayari ani pm
 
Kichwa cha habari tu umekosea, wataona hauko makini na mambo yako..rudi ukaedit kwanza kabla hawajaja
 
Back
Top Bottom