Natafuta mwenza wa kiume

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
~ Uwe mtu mzima zaidi ya miaka 40 hadi 45.
~ Uwe tayari kwa familia.
~ Usiwe mlokole au msabato.
~ Uwe na kipato yaani uwe unajishughulisha.
~ Usiwe ushawai kuoa/kuolewa / ushawai kufunga ndoa popote.
~ Usiwe na vyeti feki.
~ Usiwe na watoto zaidi ya wawili maana muhusika anaitaji kuzaa 3.
~ Uwe tayari kwa hiv test.
~Mimi ni midle man tu ila kila ombi litapewa kipaumbile litalifikisha kwa muhusika.

Kama unaitaji njoo pm, elezea;
~ Umri wako.
~ Dini.
~ Unapoishi, na matarajio yako kimaisha kwa ufupi.
 

Mimi nina vigezo vyote lakini sasa nakutaka wewe Miss Natafuta.
 
Nimependa ulivyo jiamin pamoja mtu kupewa namba pm itabidi ajipange haswa usije mpa namba ya beki tatu wako!!

Wengine hapa hukimbilia kufungua ID mpya
Cc miss chagga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…