Natafuta Mwenza wa Maisha (Umri 27-30)

Natafuta Mwenza wa Maisha (Umri 27-30)

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
432
Reaction score
703
Awe mwanamke...Mwenye Hofu ya Mungu, uzuri wa wastani, urefu wa wastani.

Dini yoyote ndani ya Ukristo.

Umri wake kuanzia 27-30

Awe hajawahi kuolewa pia asiwe na Mtoto, Ila awe na Uwezo wa kuzaa maana nataka watoto wa4 waharaka haraka kisha tuanze kukuza tu.

Mimi ninahitaji mke ambaye tutaelewana na kuweka mipango ya maisha.

Mimi umri 35
Mrefu wa Wastani, Umbo langu ni wastani siko kwa wanene wala kwa wembamba. Elimu yangu ni Degree: Nimejiajiri..

Sijao, Sina Mtoto
Kabila langu Mchaga
Naishi Dar es Salaam.

Email: minja.jojo@gmail.com
Ukitaka # y Simu Njoo PM nikupe.
 
Attachments

  • IMG_20210131_091510.jpg
    IMG_20210131_091510.jpg
    58.4 KB · Views: 15
Kila la kheri bro Mungu atasimamia ombi lako, binafsi mke wangu tulikutana kwa njia kama hii (mitandao), nina miaka 5 kwa ndoa, mpaka sasa sijajuta maisha ni Shangwe, iwe tunacho au hatuna.
 
Yaan dah.. nilikuwa na tamani sana kupata shughuda ili nipate imani ya kukeep on fighting.. bro you made my heart warm.. Very happy for you bro... Naitaman sana Amani kwenye ndoa.. nimeshughudia masela wakipitia mateso nikasema sita oa.. ila baada ya miaka mi5 kupita akili ika nikaa sawa.. nikahisi huenda mimi ningepata mwenye uerevu na upendo wakweli ndio maana nimeanza arakati upya I hope am gonna make it.. just like you.
 
Nakuja
Awe mwanamke...Mwenye Hofu ya Mungu, uzuri wa wastani, urefu wa wastani.

Dini yoyote ndani ya Ukristo.

Umri wake kuanzia 27-30

Awe hajawahi kuolewa pia asiwe na Mtoto, Ila awe na Uwezo wa kuzaa maana nataka watoto wa4 waharaka haraka kisha tuanze kukuza tu.

Mimi ninahitaji mke ambaye tutaelewana na kuweka mipango ya maisha.

Mimi umri 35
Mrefu wa Wastani, Umbo langu ni wastani siko kwa wanene wala kwa wembamba. Elimu yangu ni Degree: Nimejiajiri..

Sijao, Sina Mtoto
Kabila langu Mchaga
Naishi Dar es Salaam.

Email: minja.jojo@gmail.com
Ukitaka # y Simu
 
Aisee Uelewa wa Watoto wa kike sijui una nini.. Yaan watu wamekuja inbox tumechati sana kujuana imefikia hatua kumuomba picha nimuone maanan ata mimi nimeweka picha yangu kwenye post.. yeye kesha niona atleast ana idea ya muonekano wangu umbo ..ila yeye hataki kitoa picha . sasa je anategemea kuwa mimi nita mpenda kwa yeye kuforce nikutane naye live??

Girls hatua ya kupena number au kukutana ni hatua ya juu sana .. tunatakiwa tuchat kujuana baadhi ya vitu.. siyo watu wanakuja wakitaka tukutane ili hali siwajui hata mionekano kwanin nipoteze muda kuset appointment kukutana na wewe ili hali sijakuona hata nishawishike kukutafuta?? yaan nikutane nawewe alafu nikuachie hapo bila hata kuongea na wewe maana kama hatuta vutiwa wote tutakuwa tumepotezeana muda.. so Ukija inbox uwe tayari kushare picha . nisingependa kuchati na kivuli bila kujua nachat na nani.
 
Kuwa makini mangi, kwani hizo picha unazotaka unaweza ukatumiwa fake na ukaingia mkenge pia!

So ni vyema ukashughulisha akili yako vyema, anayetaka iwe hivyo siyo mbaya ukarespond maana wengine, huwa ni wema na wastaarabu sana na hata uzuri wanao hivyo mara nyingi hawapendi kusambaza sambaza picha zao maana zinaweza tumika sivyo ndivyo! So nakushauri tu, ukiridhika na maelezo ya mhusika fanya muonane tu, ukionana nae usiporidhika utakapomuona muage kwa amani, usikasirike kisha endelea kuwasiliana nae, mueleze bado unapitia cv!
 
Kidume unaitwa jojo??
Nipe Tafsiri ya Neno Jojo kisha uniambie nje ya Mazoea uliyo nayo kichwan .. una logic yoyote ya kuhusisha Jina na Jinsia?? Poor minded shall never Arise out of the box even the if the wall of the box was spider web.
 
Kuwa makini mangi, kwani hizo picha unazotaka unaweza ukatumiwa fake na ukaingia mkenge pia!

So ni vyema ukashughulisha akili yako vyema, anayetaka iwe hivyo siyo mbaya ukarespond maana wengine, huwa ni wema na wastaarabu sana na hata uzuri wanao hivyo mara nyingi hawapendi kusambaza sambaza picha zao maana zinaweza tumika sivyo ndivyo! So nakushauri tu, ukiridhika na maelezo ya mhusika fanya muonane tu, ukionana nae usiporidhika utakapomuona muage kwa amani, usikasirike kisha endelea kuwasiliana nae, mueleze bado unapitia cv!
Very constractive fact.. i like it.. huu ndio Ushauri.. siyo mijutu ina comment kuhusu Jina mara Uko mtaani hawapo.. yaan Tz tutachukua muda mrefu sana kuamka katika huu ulimwengu wa tech.. bado tuna Utopian-Socialism Mentality
 
Sawa kaka Ashura tumekuelewa sisi mijitu. Siumesema jina halina uhusiano na jinsia? Au tukuite kaka Sandra kabisa.
 
Back
Top Bottom