Natafuta Mwenza wa Maisha (Umri 27-30)

Very constractive fact.. i like it.. huu ndio Ushauri.. siyo mijutu ina comment kuhusu Jina mara Uko mtaani hawapo.. yaan Tz tutachukua muda mrefu sana kuamka katika huu ulimwengu wa tech.. bado tuna Utopian-Socialism Mentality
Sasa huyu uliyemjibu na kumpa michambo yooote kwaniaba yetu mbna hukuongea nae kulingana na alichokisema? Akili yako ni ndogo sana mkuu. Utaniwia radhi, wewe ndiye mtu wa kwanza hapa jf nimekujibu kama ulivyokuja.
 
sorry kwa kuuliza, ila JoJo mbona ni jina la kike ?
 
Sasa huyu uliyemjibu na kumpa michambo yooote kwaniaba yetu mbna hukuongea nae kulingana na alichokisema? Akili yako ni ndogo sana mkuu. Utaniwia radhi, wewe ndiye mtu wa kwanza hapa jf nimekujibu kama ulivyokuja.
The Pitch is all yours Sir!
 

Jaribu video call mkuu.. hata ivo km mtu upo karibu nae bora mpange appointment ya kuonana maana you can learn a lot from a person kwa kumuona live na kuongea.. hamna kitu kizuri kinakuja rahisi so you have to put your efforts apo
Us girls can be insecure sometimes and a lot of gut feelings unahisi ukituma picha labda ujikute hadharani since you cannot easily trust people nowdays[emoji2278] watu wetu wa JF ndo walivyo ukiwa sensitive unaharibiwa siku
All the best
 
Umeongea point Sana,
itakusaidia kupunguza magarasa na kuondoa laana zisizo na msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante .. kwa ushauri.. Ngoja niangalie njia rahisi ya kuwapa amani tuaminiane zaidi..na more step to be taken if necessary.
 
Uwo mri wako mm tayari nina watoto wa 5 hapo mzee umechelewa sana Mungu akubaliki upate mke mwema....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wana utani hao mkuu.
 
Haha..
Husband material naye si haba ana vimichambo vyake khatari, wife to be, jipange..!!
[emoji1787][emoji2][emoji1787] umenikumbisha kitu, Kuna huyo mdada alisema mume wake anmpa vichambo vya haja, tena vile vya kwenye twaarab mpk mdada kashka adabu [emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…