Natafuta mwenza wa maisha

Natafuta mwenza wa maisha

Hata nyie mnakaribishwa but jeshi na engineer ni added advantages ha ha haaaa
Mimi Driver wa DFP kitambo sana,napiga gear za mashirika na utapata mikaa na misosi ya kutosha zaidi ya engineer na mjeda,na utaishi nyumba nzuri vile vile
 
Sie waendesha maguta hamtutaki na tupo na uaminifu %99.99
Kila la kheri bibie ukibadilisha sifa za hao wawili utucheki na kada zingeni jeshi hatukuendelea kukaa huko.
Na miili yetu wa injini kiuno iko fiti sana tunaweza kusimamia kucha bila kutoka jasho.
 
Habari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .

Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.

Nami ni muajiriwa Serikalini....
Do
 
Na miili yetu wa injini kiuno iko fiti sana tunaweza kusimamia kucha bila kutoka jasho.
Kabisaa mkuu leo nikiacha kuendesha guta kesho nazunguka na madafu mji mzima kuanzia kibada mpaka mbezi lousi namalizia boko siku imeisha hiyoo.
 
Habari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .

Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.

Nami ni muajiriwa Serikalini....
Current location ...
Mainjinia wapo wengi unataka injinia yupi wewe wa majengo kompyuta kilimo maji barabara mazingira????

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hata nyie mnakaribishwa but jeshi na engineer ni added advantages ha ha haaaa
Mie sio mwanajeshi Ila Nina hiyo carrier kwenye mishipa ya damu waKurya wote ni wanajeshi by default[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukikosa Mtu njoo inbobo
 
Back
Top Bottom