Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

mtuwewe

Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
47
Reaction score
25
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu.
-Mimi ni kijana wa kiume, mwajiriwa private sector, sijawahi oa wala kuwa na mtoto, umefika mda nimeamua niwe na mwenza atakayekuja kuwa mke baadaye.

Vigezo;
1.Awe mucha Mungu na dini yoyote
2.Umri kuanzia miaka 20 hadi 26
3.Rangi mweusi, mnene wastani na urefu wa wastani
4.Awe tayari kuishi mkoa wowote
5.Awe mkweli na awe seriously na mahusiano maana sitaki kupotezeana mda

NB.Awe tayari kwenda kupima H.I.V kabla ya yote.

Ambaye yupo karibu Pm
 
Nahis wewe ni mwanachama ww cc emu huwezi kuandika hivi abadani
 
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu.
-Mimi ni kijana wa kiume, mwajiriwa private sector, sijawahi oa wala kuwa na mtoto, umefika mda nimeamua niwe na mwenza atakayekuja kuwa mke baadaye.

Vigezo;
1.Awe mucha Mungu na dini yoyote
2.Umri kuanzia miaka 20 hadi 26
3.Rangi mweusi, mnene wastani na urefu wa wastani
4.Awe tayari kuishi mkoa wowote
5.Awe mkweli na awe seriously na mahusiano maana sitaki kupotezeana mda

NB.Awe tayari kwenda kupima H.I.V kabla ya yote.

Ambaye yupo karibu Pm
Sawa
 
Kijana tafuta anayekuvutia mchunguze kama tabia na vigezo mnaendana uongee nae kuhusu kumuoa, hii unayofanya ni tabia ya wanawake (hawawezi tongoza).
 
Kukataliwa ni jambo la kawaida kwa mwanaume na usisite kujaribu kwingine.
 
Back
Top Bottom