Natafuta Mwenza

Natafuta Mwenza

wamilika

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
7
Reaction score
2
Kichwa cha habari kinajieleza...ninatafuta mume aliye tayari tumalizie uzee nina miaka 33 na nina mtoto mmoja . Umri uwe miaka 35+ Dini awe mkristo...Mengine tutayajenga karibuni pm.
 
Dahhh....
Nimejikuta nawaza mbali sana.
Ngoja tu nikutakie kila la kheri na Mungu atakusimamia
 
Safi sana
Naunga mkono hoja, sababu mwenye uhitaji hajaweka mambo meeengi yenye kuwafanyia vijana wenzake ugumu.
Nikimsoma mleta mada, maandishi yake yanaonekana anahaja na anania ya dhati kwenye kile anacho kiamini. Na mwisho kabisa, pale kwenye heading imekaa vizuri zaidi ya muonekano wa shinikizo ama amechelewa, na badala ya Mume ametumia neno Mwenza
 
Back
Top Bottom