Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

narudia hivi wacha kutetemeka ili usomeke vema.......nimeajiliwa ndio kitu gani? ujuaji wako utaishiwa vijana kujifunza kulenga shabaha....unaachwa na matobo kibao.....
Mmmmmh we mbna unakuja kwa kasi Sana Kaka Kwan umetumwa ama umelazimishwa kupita uku ? Ulitaka niseme nn labda embu nieleze
 
Hahaaaa nimecheka kwel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Naomba nikanushe hapa umri sio kikwazo kikubwaaa Bari ni upana wa fikra tu

Wewe ni wa Musoma?
 
Asanteeeee
kila la kheri mkuu..

Vipi marafiki zako wa kiume hamna mwenye mwelekeo wa kukuhitaji au wanakuchelewesha wewe gari la ndoa limewaka? Nauliza sababu kumpata mtu tokea mtandaoni tena mtandao huu wenye fake id,avatar hadi kuwa mume naona ni mchakato kwelikweli!
 
Nina miaka 25, ni mwajiriwa.

Nahitaji mume awe very serious akiwa mkristo itapendeza nahitaji ndoa

Akiwa mkoa wowote ama nchi yoyote ni sawa awe mcha Mungu na mwenye hofu ya mungu
Umri wake uwe 35 kushuka chini mpka 28
Be serious weka picha tena iwe halisi, kama unamtoto useme pia, au ulishaolewa mkaachana ni muhimu kusema pia
 
Back
Top Bottom