Mmmmmh we mbna unakuja kwa kasi Sana Kaka Kwan umetumwa ama umelazimishwa kupita uku ? Ulitaka niseme nn labda embu nielezenarudia hivi wacha kutetemeka ili usomeke vema.......nimeajiliwa ndio kitu gani? ujuaji wako utaishiwa vijana kujifunza kulenga shabaha....unaachwa na matobo kibao.....
Ohooo sijaona dearNimeku pm ila naona response hakuna.
Hahaaaa nimecheka kwel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Naomba nikanushe hapa umri sio kikwazo kikubwaaa Bari ni upana wa fikra tu
kila la kheri mkuu..Asanteeeee
Nitumie tena pm sijapata nitakujibu fasta leo tanesco wako poaNimeku pm ila naona response hakuna.
Kakanyage mafuta kwa mwamposa tafadhaliPicha si kigezo nikikutumia ya mwingine ama Niki edit
Una ID nyingi tukutumie ipi?Nitumie tena pm sijapata nitakujibu fasta leo tanesco wako poa
πππUna ID nyingi tukutumie ipi?
Mimi piaMmmh sio kwel
Be serious weka picha tena iwe halisi, kama unamtoto useme pia, au ulishaolewa mkaachana ni muhimu kusema piaNina miaka 25, ni mwajiriwa.
Nahitaji mume awe very serious akiwa mkristo itapendeza nahitaji ndoa
Akiwa mkoa wowote ama nchi yoyote ni sawa awe mcha Mungu na mwenye hofu ya mungu
Umri wake uwe 35 kushuka chini mpka 28
Bado shusha shusha kidogo28-32