Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Asee😲😲 nimerudia mara tatu kusomaHii age group mi nilishasemaga ni ya tushetani tudogo.
Unaweza kuwa mmama tu wa 40 years or wharever, single and not searching kabisa umetulia zako na life yako mishe zako zinaenda fresh aisee kakapita tu kamoja kakakupa hi.
Hautajua utajiingizaje kwenye mapenzi aisee. Tena yale ambayo hujajiingizaga before yakakuchanganya kabisa.😣😣
To be on the safe side, usiwaangalie mara mbili hata salamu usiwajibu. ***** zao.
Mbn umechafukwa hivyo my dear,tena na tusi zito mwishoni? Kwani kilitokea nn Kati yako na hao under 30 my dear