Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
368
Reaction score
556
Wasalaam

Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo

Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine

Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha

Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi

Kwa alie serious plse pm me
 
Jinsia yako tafadhali? And Uko wapi ?
 
Punguza hofu basi ili upate mchumba mzuri. Si unaona sasa hata jinsia yako tu hujaweka.
 
Wasalaam

Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo

Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine

Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha

Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi

Kwa alie serious plse pm me
Hakuna mcha Mungu, atakae kubali kufunga ndoa kwa imani nyingine, na bado akaitwa ncha Mungu.
Masharti mengine yasieleweka ndiyo yanayowanyima waume.
 
Wasalaam

Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo

Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine

Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha

Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi

Kwa alie serious plse pm me
Jinsia yako hujaweka.
 
Hii si ndio ndoa jamani? Hapa nawaza nikizama pm ni mwambieje?

Pili, nawaza kwa bandiko hili ni wangapi walomfata pm? Au ndo yale yaje tokea ya kimasihara?

Hivi ndo tunakosaga wachumba😂😂😂
 
Wasalaam

Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo

Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine

Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha

Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi

Kwa alie serious plse pm me
Miaka 37 aiseee bado unachagua mchumba kwa mujibu wa imani
 
Back
Top Bottom