musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Wasalaam
Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo
Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine
Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha
Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi
Kwa alie serious plse pm me