musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Jinsia yako tafadhali? And Uko wapi ?Wasalaam
Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo
Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine
Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha
Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi
Kwa alie serious plse pm me
Punguza hofu basi ili upate mchumba mzuri. Si unaona sasa hata jinsia yako tu hujaweka.Wasalaam
Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo
Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine
Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha
Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi
Kwa alie serious plse pm me
Dada jitolee akuoe mahari nitatoa mimi!All the best
Punguza hofu basi ili upate mchumba mzuri. Si unaona sasa hata jinsia yako tu hujaweka.
Hakuna mcha Mungu, atakae kubali kufunga ndoa kwa imani nyingine, na bado akaitwa ncha Mungu.Wasalaam
Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo
Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine
Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha
Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi
Kwa alie serious plse pm me
Jinsia yako hujaweka.Wasalaam

Miaka 37 aiseee bado unachagua mchumba kwa mujibu wa imaniWasalaam
Nina umri wa miaka 37...elimi yangu shahada ya mambo ya fedha,imani yangu mkatoliki,najishughulisha na kilimo
Natafuta mchumba/mwenza,awe tayari kufunga ndoa kwa imani yangu afu akaendelea na imani yake,kwa maana hiyo akiwa mkatoliki is fine
Kweli ni vizuri akiwa mchamungu,lakini ni vizuri zaidi akiwa anajitambua na uelewa mkubwa wa maisha
Asiwe so radical katika misimamo yake...asiwe mtu mwenye do's or don'ts nyingi kiasi zitamfanya awe mbinafsi
Kwa alie serious plse pm me
Miaka 37 aiseee bado unachagua mchumba kwa mujibu wa imani