Natafuta mwenza

Mabinti wa mikoani mbona hawatumii hii platform ya JF kutafuta wenza tofauti na wenzao wa Dar?

Ukiona mtetea asiye na kifaranga anakimbiza jogoo jua kuna story ya kusisimua nyuma yake.
 
We endelea kujimwambafai wanawake wakiisha mtakao anza kuolewa ni wanaume weupe hahaa
 
Kama uliweza kujieleza hadi ukapata KAZI......unashindwaje kujieleza hivyo hivyo kwa mwanaume mwenye vigezo hivyo katika mazingira Yako yanayokuzunguka!?

usituogope...hatung'ati sisi
 
Umri mzuri sana huo; waswahili wanasema, umri wa maringo.
 
tunaweza yajenga ila sipo dar
0714461314
 
Chura unayo?
 
Nahisi kama vile utakuwa unajibizana na mtoto mdogo...nahisi tu lakini.
 
Hapo Ofisini kwenu mbona wapo wanaume kibao Binti? chagua mmoja mtongoze acha uzembe!!
 
wazee above 50 ndiyo wanajua kulea
 
Nikikukabidhi moyo wangu
Hivi utanitesa mie,
Naogopa nikikukabidhi moyo wangu
Nahofia utanitesa mie,
Wewe mtoto wa mjini
Umezoea bata, mimi sina hizo!
Nimekuzwa kwenya dini
Nisije kupa moyo, ukanizawadia pigo. peh peh peh peeeh [emoji448][emoji448][emoji448]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…