Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Ninekidhi vigezo ila sikufahamu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume weupe tuna bei ghali sana ndo maana wanawake wengi wanatuogopa.
Hao weusi ni wa bei chee ndo maana ni rahisi kuwapata.
Wanaume weupe tunaringa kwasababu kila demu tunayemtaka tunampata kirahisi tofauti na black hadi awe na chenji ndo ampate mwanamke.
Pia wanawake wanatuogopa kwasababu hatukawii ku cheat kwakuwa tunamendewa na mademu wakali.
Demu yeyote mkali anatamani kutoka na mwanaume mweupe kwa ajili ya mauzo aonekane wa kiwango cha juu.
Ukiwa mwanaume mweusi ili uongozane na demu mkali sharti mfukoni uwe vizuri.
Lakini kwa mwanaume mweupe hata kama hana kitu mfukoni mwanamke yupo tayari amgharamikie ili mradi watoke out tu.
Inferiority ama superiority mkuu?Inferiority complex ndo hii sasa.
Ukiona mwanamke anasema hataki kuwa na mwanaume mweupe ukimdadisi vizuri atakwambia wanaringa sana na mwanaume mweupe hawezi kuwa wa peke yako lazima wanawake wengine wanammezea mate.Inferiority complex ndo hii sasa.
Ushatia kitumbua mchanga dah!You are too young kuanza kusaka wapenzi wasojulikana..
Mkuu mbona uzi hauhusu wanaume weupe au weusi!!Ukiona mwanamke anasema hataki kuwa na mwanaume mweupe ukimdadisi vizuri atakwambia wanaringa sana na mwanaume mweupe hawezi kuwa wa peke yako lazima wanawake wengine wanammezea mate.
Hiyo ndo siri kuu ya wanawake wengi kutopenda kuwa na mahusiano na wanaume weupe kwasababu huwa wanajihisi kutojaliwa.
Hili wamewahi kuniambia wanawake kadhaa kwahiyo naongea kwa uzoefu ulio hai sio wakusimuliwa tu.
Nimesema hivyo kwasababu unajitetea bila kuulizwa wala bila sababu.Inferiority ama superiority mkuu?
Watu tunasumbiliwa na mademu hadi tunawatafutia vijisababu uchwara kuwatema halafu wasemaje tena?
Ninao wake wawili mkuu lakini bado wanawake wananisunbua sana mtaani kwasababu ya rangi zetu hizi za mitume.
Acha umbea ww.😂You are too young kuanza kusaka wapenzi wasojulikana..
Mtafutie mwenzioKila lenye kheri
Bujibuji Simba Nyamaume suruali yako umevalia wapi msuri uvalie kwa binti wa watu weee mzee.Nina 56 yrs, single hebu tuyajenge
Ha haaa😂🙆🙊Mtafutie mwenzio
Mimi ni kijana barobaro kabisa kwenye ulimwengu wa roho nina miaka 26 tuBujibuji Simba Nyamaume suruali yako umevalia wapi msuri uvalie kwa binti wa watu weee mzee.
Mashemeji tuna kikao weekendNina 56 yrs, single hebu tuyajenge
Mungu akupe hitaji la moyo wako.Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es Salaam.