Natafuta mwenza

Kila la kheri ila mbona unaonekana mbabe sana 😐
 
Kila la kheri
 
Haya kila la kheri..

Kada ya afya, usisahau kupita mahospitalini, maduka ya madawa uweke matangazo huko.. 😂🤣(utani tu)
 
Wanawake wanaojitambua hawataki wanaume dhaifu wa kulialia! Toka! (Go out there) jichanganye utaona manzi wa kila aina chagua, mwaga sera, oa!
Mkuu ebu nipe mbinu, huko out ni wapi? Kama mimi nikitoka basi nimeenda bar, ofisi iko home sitoki siku nzima, kanisani pia siendi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…