Natafuta mwenza

Joined
Jun 8, 2023
Posts
24
Reaction score
37
Wadau hope mko poa,

Kama mada inavyosema, natafuta mwenza wa kuanza nae mahusiono then badae tuje kuwa wamoja.

Sifa zangu:
  1. Mrefu wa wastani, maji ya kunde.
  2. Nimeajiriwa Sekta Binafsi( Finacial Institution)
  3. Nina umri wa miaka 32.
  4. Dini ni mkristo.
  5. Kabila Mmasai.
Sifa za ninae muhiji:
  1. Awe mkristo.
  2. Awe na akili ya biashara.
  3. Umri 25-30.
  4. Kabila lolote, kama langu pia itapendeza zaidi.
NAWAKILISHA. ASANTENI
 

Hujataja jinsia yako mkuu tuchamkie fursa..
 
unataka mume au mke
 
Unatafuta wa kuchakatana naye au wa kumchakata au wa kukuchakata?

Imebidi niulize kisanii uweze kujibu
 
Jinsia yako hujaitaja, tunahofia vurumai tusije inbobo na makopakopa kumbe we ni mwamba
 
∅ 𝘠𝘰𝘶 𝘤𝘢𝘯'𝘵 𝘴𝘦𝘦 𝘵𝘩𝘪𝘴 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵, 𝘣𝘦𝘢𝘤𝘶𝘴𝘦 𝘺𝘰𝘶 𝘢𝘳𝘦 𝘶𝘴𝘪𝘯𝘨 𝘢 𝘊𝘩𝘪𝘯𝘦𝘴𝘦 𝘮𝘰𝘣𝘪𝘭𝘦, 😎
 
Chinese mobile or Chinese language 🤣🤣
 
Location
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…