Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

Nasikia wamasai mna kifagio kile kinananiii
Au basi...ni vile tu sina akili ya biashara ningekuja pm 🤣

Tayana-wog njoo ujinyakulie masai huku
Mweee mwaka huu umeanza vzr
Acha niendelee kusubiri atatokea mwenye vigezo vyangu🤣😜
Hapa Sina vigezo miss
 
Back
Top Bottom