Natafuta mwenzangu wa maisha

Natafuta mwenzangu wa maisha

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Mwenzenu nimechoka maisha ya ubachelor natafuta wa ubabu wangu wa kufa na kuzikana.
Mi ni mwanaume umri wa miaka 35 ni mkristo mtumishi wa umma.
Kwa aliye serious sichagui dini, ngozi/rangi, kimo wala dini nacho jali ni upendo wa dhati.
Kwa aliye serious tuwasiliane kwa barua pepe nyunzo@yahoo.com
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kila la kheri mkuu ukipata wengi tupasie na sie wenzio.
 
2lia umtafute kwa kumuangalia mwenendo,lac hvyo!.wallah hautokaa nae kwa muda mrefu
 
Nakutakia kila la heri, hope utafanikiwa bila tatizo cse girlz ni wengi mno,70% of tanzania ni wanawake, NOTE: ila sio ndo uzoe tu kwa kua wapo wengi.
 
Kila lakheir! mtangulize Mwenyezi mungu kwenye kila jambo utafanikiwa.....
 
Mmmmh!! Kweli umechoka, post yako tu yenyewe inasisitiza! Kila la kheri!
 
ungewai tu ungenipata yaani ni jana tu..................
we Bebii hebu acha kumdanganya mwenzako,halafu kwani amekuambia angekuchagua kati ya wengi ambao wangtuma maombi?
eti ni jana tu!!!!!!!
 
we bebii hebu acha kumdanganya mwenzako,halafu kwani amekuambia angekuchagua kati ya wengi ambao wangtuma maombi?
Eti ni jana tu!!!!!!!
nimedanganya nini na wewe?
 
kila la heli mwana naamini utafanikiwa
 
ok ntakutafuta nshachukuwa email yako

jioni njema mydr,

nyongo mkalia ini,barafu wa moyo,honey,sweetheart
 
ok ntakutafuta nshachukuwa email yako

jioni njema mydr,

nyongo mkalia ini,barafu wa moyo,honey,sweetheart
haya bro mizigo hiyo mpaka ukimbie mwenyewe,najua baadaye utaweka sifa za mhusika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom