lawayNiko hapa
Uliza
nawasubiriSawa ngoja wanakuja
Mkuu Mila na desturi zikojeMi pia nadhani ni km wao nimekulia katikati yao nimesoma kwao, nimeoa kwao nawafaham a-z yao
SayooSaitaa
sayuu kudimaSaitaa
aidomaSayoo
Aidoriaidoma
ka hhawatuo laqa a/meniAidori
Mila yao iko vizuri, nilichopenda kwa hili kabila wazee huwafundisha watt wao haki. Hili kabila linapenda haki sana, kwenye haki mwirak mtauana. Dhuluma ni chache sana, kimila mzulumaji hulaaniwa na wazee. Nakumbuka nilipokuwa mdogo kulitokea wimbi la wezi, nikasikia wazee wakaitisha kikao cha kuwalaani. Tena walilaani mwizi yeyote afe kwa kifo cha kuharisha dam, na kweli haikupita hata mwezi vijana wanne walikufa mmoja baada mwingine kwa ugonjwa wa tumbo na kuharisha dam.... Miaka chache tu majuzi, ilikutwa maiti ya kijana moja mfanyabiashara ya ngombe. Anahisiwa alipouza dume 4, wale aliofanyanao hiyo biashara walimhadaa kwakumpeleka nje ya mnada ili wamwoneshee dume wengine ili anunue. Lakini lengo lao likageuka wakamnyonga na kuchukua fedha zake.... Wazee wa mila wakakaa na wakataka waliofanya uovu huu waropoke wenyewe. Baada ya mwezi wanaume wawili wakiwa wamelewa wakaropoka kuwa ndio waliomwua fulani na hela zake ndo hii tunainywa, wakakamatwa kilaini .Mkuu Mila na desturi zikoje
Sayoo = SayuuSayoo
AaidomaaHydomaa
AidoriiiAaidomaa
Gasi a a'menika hhawatuo laqa a/meni