Natafuta Mwirak yeyote humu either awe wa Kike/Kiume

Niliishi kijiji cha HAISAMA wilaya ya Mbulu,na pia hio Wilaya ya Mbulu imekua pamoja na jiji la Nairobi,mimi binafsi sikuamini kusikia ivo hadi nikawauliza wazee na wao pia wakasema hivyo hivyo
hii kabila ni nzuri saana na inajali mila na desturi zake
Japo kauli ya mwisho ktk familia ni mama tu mwenye sauti lkn ni watu ambao wapo sawasawa na bila kusahau
Kwa upande wa benchi la ufundi,ukiwaletea zakuleta wazee wanakaa chini na kukucheki kwa mawe tu, hapo kesho yake lazma utaeleweka[emoji3]
 
Kumbe kauli ya mwisho ni mama
 
ahahahahaa wanakuchekije mzee
 
Hivi hawa ni Wambulu au Wairak? Kuna uhusiano kati ya Wairaq na Wairak?

Vv
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapo lkn...wanaogopa kutekwa na watu wasiojulikana mkuu.
 
Back
Top Bottom