cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Hao ndio Cushite halisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aidori
usiharibu lugha yetu ww SAYOO ndo mdudu gan?saayuSayoo
Kumbe kauli ya mwisho ni mamaNiliishi kijiji cha HAISAMA wilaya ya Mbulu,na pia hio Wilaya ya Mbulu imekua pamoja na jiji la Nairobi,mimi binafsi sikuamini kusikia ivo hadi nikawauliza wazee na wao pia wakasema hivyo hivyo
hii kabila ni nzuri saana na inajali mila na desturi zake
Japo kauli ya mwisho ktk familia ni mama tu mwenye sauti lkn ni watu ambao wapo sawasawa na bila kusahau
Kwa upande wa benchi la ufundi,ukiwaletea zakuleta wazee wanakaa chini na kukucheki kwa mawe tu, hapo kesho yake lazma utaeleweka[emoji3]
shidi kaah ku dima khaeHahahahahaha! Tlahee taraha
gam kar asayutaa wayniko hapa mwiraqw original ,,,mother tonque
lawo laryNipo hapa
ahahahahaa wanakuchekije mzeeNiliishi kijiji cha HAISAMA wilaya ya Mbulu,na pia hio Wilaya ya Mbulu imekua pamoja na jiji la Nairobi,mimi binafsi sikuamini kusikia ivo hadi nikawauliza wazee na wao pia wakasema hivyo hivyo
hii kabila ni nzuri saana na inajali mila na desturi zake
Japo kauli ya mwisho ktk familia ni mama tu mwenye sauti lkn ni watu ambao wapo sawasawa na bila kusahau
Kwa upande wa benchi la ufundi,ukiwaletea zakuleta wazee wanakaa chini na kukucheki kwa mawe tu, hapo kesho yake lazma utaeleweka[emoji3]
Babati! Kuu ayaa galah!shidi kaah ku dima khae
Sayu,we ni desi au garma?laway
saayu khae,makat akko,garta sla?gam kar asayutaa way
ana ba darsalamaBabati! Kuu ayaa galah!