Natafuta mwl wa chekechea kwa ajili ya mtoto wa miaka minne

Natafuta mwl wa chekechea kwa ajili ya mtoto wa miaka minne

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
143
Tupo kariakoo - dar, mtoto anasoma chekechea kwa sababu ya umbile lake kumbwa tungependa awahi kuelewa kusoma na kuandika mapema, naahidi kumlipa vizuri
 
Back
Top Bottom