Natafuta Mzee Mwenzangu tumalizie Ungwe(ke)

Ndoa ni ndoa tu haijalishi mmeanzia wapi kikubwa mjaliane...Kila mtu amwone mwenzie ni mtu mwenye thamani kama yeye...ajue kwamba ninachomfanyia huyu ningefanyiwa mie nisingependezwa nacho.Wasijifikirie wao tu bali wafikirie na wazazi wa mwenza hawatojisikia vyema wakigundua mtoto wao hatendewi vyema na mwenzie.

Kila lenye kheri kwako.πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…