Natafuta Mzee Mwenzangu tumalizie Ungwe(ke)

Natafuta Mzee Mwenzangu tumalizie Ungwe(ke)

Una wajukuu wangapi ? Maana Enzi za masingle mama na masingle daddy tushatoka ni mambo ya single grandpa na single gradma
 
Unatafuta laana tu dogo shauri yako.
 
Joined Utawala wa Msoga Mwenzangu nakuombea upate wakumaliza nae Second Half iliobaki.
 
Records za mwisho kabisa tulikuwa wawili tu, mimi na ndugu yangu Grahams. Ngoja tuone kama list inaongezeka au niaje.

Hakika wazee hatupumzishwi.
Hahaha..............ila bora Mzee mwenzetu amejiongeza kutafuta partner, ila alichokosea ni kushindwa kuelewa ule msemo wa "Gari bovu huvutwa na zima"

Yaani una gari la Mwaka 47, unashindwa nini Kufunga Engine ya Mwaka 2000 wakati nimeambiwa zipo vizuri kwenye pulling 😜🏃🏃
 
Back
Top Bottom