Natafuta nafasi ya Internship au ajira. Nimesoma Automobile Engineering

Natafuta nafasi ya Internship au ajira. Nimesoma Automobile Engineering

Nurman

Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
27
Reaction score
30
Habari wakuu,

Naitwa nurman nimemaliza Automobile engineering chuo Cha taifa Cha usafirishaji nit naweza. Motor vehicle services wheel alignment cng vehicle installation. Maintenance management. Kama Kuna nafasi internship au kazi nipo tayar mahali popote. Contact no: 0743119720,au 0716185612
 
umesoma haya unashindwa kujifungulia ofisi yako na kuipa promo JF mpaka insta.
au unakipaji unajiogopa.
ofisi yangu ya kwanza ilikuwa kompyuta yangu niliyoatoka nayo chuo.nashinda kutembea kutafuta wateja
 
Tafta gereji nzuri omba kujitolea upate uzoefu.

Naamini magari mliyoyasomea NIT ni yale ya kuzamani, mifumo ya kizamani. Magari ya sasa mwngi ni ya mifumo mipya na ya kisasa, rahisi kutengeneza hasa kwa watu mlioenda shule na ukapata vifaa sahihi. Hivyo mtaani utakutana ma magari yenye mifumo tofauti na uliyosomw NIT.

Sasa wewe una advantage moja, una shule, ila huna uzoefu na ujuzi ila una maarifa hivyo ni rahisi ku-excell kwenye hiyo fani iwapo utakua tayari kujifunza na kufundishwa.

Huko kwenye kujitolea usijifanye msomi, maana utakuta watu waliomaliza darasa la saba ila wana ujuzi, kua tayari wakufundishe, ukiongeza na maarifa yako utakua mzuri zaidi.

Baada ya hapo, utaanzisha gereji yako na kuanza kupiga hela.

Kila la heri bwana mdogo.
 
Pendelea kupitia LinkedIn kuna NGOs zinatafuta watu wa kufanya internship kwa watu wa kada tofauti tofauti.

Kwa kuwa unatafuta kazi, pendelea kuwa na akaunti mtandao wa LinkedIn, jaza profile yako vizuri, kuna nafasi za kazi zinatangazwa na ofisi tofauti tofauti mara kwa mara.

Kwa mfano hawa EGPAF walitangaza nafasi na wanafanya kazi mikoa tofauti hapa Tz, nimescreenshot kada chache tu ila zipo nyingi, kuna nafasi za internship na full time job

20221217_141528.jpg
20221217_141712.jpg
20221217_141657.jpg
 
Habari wakuu,

Naitwa nurman nimemaliza Automobile engineering chuo Cha taifa Cha usafirishaji nit naweza. Motor vehicle services wheel alignment cng vehicle installation. Maintenance management. Kama Kuna nafasi internship au kazi nipo tayar mahali popote. Contact no: 0743119720,au 0716185612
install telegram..then jiunge ktk hii link ya JOB SEEKERS
 
Back
Top Bottom