Habari zenu ndugu, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Ndugu zangu ninatafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya na taasisi zinazohusu utafiti.
Nina bachelor degree ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika kufanya kazi maabara especially kwenye molecular biology and microbiology. Ninauwezo mzuri wa kutumia computer. Pia ninauzoefu kwenye mambo ya utafiti wa magonjwa mbalimbali especially infectious deseases zote.
Taasisi niliokuwa nafanya kazi mradi umekwisha ndio maana nikaona nije kwenu kwani nafahamu kuna watu mbalimbali wakiwemo ma CEOs humu. Napatikana Dar es salaam na naweza kufanya kazi mkoa wowote.