Natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa Shule Binafsi ya Wasichana

Natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa Shule Binafsi ya Wasichana

Mechanical Engineer

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
230
Reaction score
131
Amani iwe kwenu!

Wakuu, natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa shule binafsi ya Wasichana kwa tahasusi ya EGM.

Shule iwe katika moja ya mikoa ya Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Tabora au Mwanza.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom