Isayamoh
New Member
- Jul 18, 2024
- 1
- 1
Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoweza nipatia uzoefu wa kazi natafuta uzoefu katika fani ya Kodi au uhasibu.
Nipo mbeya nina shahada ya usimamizi wa Kodi (bachelor of science in tax management
Mawasiliano: fadhirimwakaselo@gmail.com
0741954363
Nipo mbeya nina shahada ya usimamizi wa Kodi (bachelor of science in tax management
Mawasiliano: fadhirimwakaselo@gmail.com
0741954363