Natafuta/nahitaji mchumba

Nilipataga mchumba asee kupitia uzi huu.. [emoji12] JF bwana
 
Bado upo?
Ulishaoa au bado uchumba kiongozi. Na kwa nini bado unaongelea uchumba wakati mipango ilikuwa 2018? Je umemsitiri na umefuata nasaha za Mungu muumba kwamba ngono hadi baada ya ndoa?? Au kuna utofauti??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…