Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishaoa au bado uchumba kiongozi. Na kwa nini bado unaongelea uchumba wakati mipango ilikuwa 2018? Je umemsitiri na umefuata nasaha za Mungu muumba kwamba ngono hadi baada ya ndoa?? Au kuna utofauti??Bado upo?