Mtafute HapoWakuu poleni na kazi.
Naombeni yeyote mwenye mawasiliano yani namba za makonda naomba anisaidie naimani kupitia yeye changamoto yangu itaisha pia kama MTU anajua nitampataje please naomba anisaidie.
Kama pia yupo hapa JF please nitafurahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada.
Asanteni sana ndugu zangu muwe na maisha mema
Pale noma kuna jambo lilitokea kipindi Fulani acheni tu viongozi majambazi tu na kwa nafasi hiyo anakuwa jambazi zaidi CCM wanatupa hard lifeLeo usiku yupo pale Igoma kwenye kasri alilomjengea mama yake! wanaita usiku wa Makonda watakesha wanakula ulabu kabla ya kesho kuamkia Furahisha kwenye mikutano.Wahi pale utaonana nae vizuri tu.
Nini hiko mkuu tudokezee hata kidogoPale noma kuna jambo lilitokea kipindi Fulani acheni tu viongozi majambazi tu na kwa nafasi hiyo anakuwa jambazi zaidi CCM wanatupa hard life
Hii niya ALBERT CHALAMILA
Teh! Teh! kuna mambo mengi sana hapo ndani by then Makonda alipiga simu kwa hayati kuomba msaada na vituo vya Polisi kuwa kavamiwa home kwake kuondoa aibu. Dukua kwa jirani zake Igoma utaekezwa so balaa lakini watt wa mbwa tupo hadi Leo kitaa.Nini hiko mkuu tudokezee hata kidogo