Natafuta/naomba ajira

joa Treder

New Member
Joined
Jun 24, 2021
Posts
4
Reaction score
6
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
 
NAITWA FAUSTA NINA UMRI WA MIAKA 21 NAISHI DAR NINA ELIMU YA CHUO NIMESOMEA SECRETARY NINA UZOEFU WA MWAKA NA MIEZI 6. NATAFUTA KAZI PIA USAFI MAOFISINI NAWEZA NISAIDIENI WAUNGWANA
Muumba Wa ardhi na mbingu asikie kilio chako amiin
 
Nimeishia hapo "nina elimu ya chuo" kuandika huwezi nani akupe kazi, kasome kwanza.
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
 
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
Piga namba hii0764125128 n
 
Back
Top Bottom