stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,105 Feb 7, 2012 #1 kila nikiingia humu mmu nakuta post mbili au tatu ndo watu wanaoeleza mambo mengine zaidi ya natafuta. Ila zilizobaki wao wanatafuta tu. Sasa waliopata inakuwaje mbona hamleti feedback na pia wengine wako kiutani zaidi kwanini?
kila nikiingia humu mmu nakuta post mbili au tatu ndo watu wanaoeleza mambo mengine zaidi ya natafuta. Ila zilizobaki wao wanatafuta tu. Sasa waliopata inakuwaje mbona hamleti feedback na pia wengine wako kiutani zaidi kwanini?