natafuta natafuta nani kapata?!

natafuta natafuta nani kapata?!

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,105
kila nikiingia humu mmu nakuta post mbili au tatu ndo watu wanaoeleza mambo mengine zaidi ya natafuta. Ila zilizobaki wao wanatafuta tu. Sasa waliopata inakuwaje mbona hamleti feedback na pia wengine wako kiutani zaidi kwanini?
 
Back
Top Bottom