NATAFUTA: Natafuta Shamba/kiwanja heka 2 au 3 pawe na umeme

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
NATAFUTA ili ninunue Shamba/Kiwanja heka 2 au 3. Pasiwe mbali na mjini Dar as salaam. Hapo nataka nifanye kilimo flani cha kisasa.
Sehemu ambayo ntapapima mwenyewe nipate hati ya ardhi.
Hivyo ukileta eneo lako lililopangwa kwa ajili ya hospital au shule au open space etc ntakuumbua vibaya sana.
Haya nasubiri majibu waungwana.
 
kuna milioni 89 hapa

Nina eneo kigamboni-mwasonga ekari 1.5 pia kuna nyumba ipo kwa ajili ya vijana wa shamba
 
Back
Top Bottom