kuna km 4Umbali gani kutoka morogoro road ?
sio mbali pamejengeka.karibu na kambi ya jeshi msanganiMbali hizi
Offer inategemea na shamba lenyewe. Mpaka heka tano naweza chukua
kuna milioni 89 hapa
Nina eneo kigamboni-mwasonga ekari 1.5 pia kuna nyumba ipo kwa ajili ya vijana wa shambaNATAFUTA ili ninunue Shamba/Kiwanja heka 2 au 3. Pasiwe mbali na mjini Dar as salaam. Hapo nataka nifanye kilimo flani cha kisasa.
Sehemu ambayo ntapapima mwenyewe nipate hati ya ardhi.
Hivyo ukileta eneo lako lililopangwa kwa ajili ya hospital au shule au open space etc ntakuumbua vibaya sana.
Haya nasubiri majibu waungwana.
milion tano kwa ekaShilingi ngapi?