kwa hiyo sehemu ukivikata 20 kwa 20 ukaja kuuza unapata pesa nzuri sanaEeeh hiyo ndio bei rahisi
Aisee kama Upo serious na umejiandaa na pesa.. Kuna eneo la kama ekari 3 na nusu kuna umeme kuna nyumba kubwa na eneo lina fence kabisa lipo Mabwe Pande..Gari zipo mpk daladala za kutoka hapo hadi makumbusho moja kwa moja zipo. Ni eneo zuri sana kwa kilimo cha kisasa ukizingatia na mradi wa maji ya dawasa umekamilika tayari... Sasa ushindwe wewe tu hapo.Sasa mkuu ni nataka shamba tena unanshauri nikate Kate
Mkuu niko serious sana tu. Sema na offer pia zizingatie maisha yetu ya kawaida ya kudunduliza dunduliza.Aisee kama Upo serious na umejiandaa na pesa.. Kuna eneo la kama ekari 3 na nusu kuna umeme kuna nyumba kubwa na eneo lina fence kabisa lipo Mabwe Pande..Gari zipo mpk daladala za kutoka hapo hadi makumbusho moja kwa moja zipo. Ni eneo zuri sana kwa kilimo cha kisasa ukizingatia na mradi wa maji ya dawasa umekamilika tayari... Sasa ushindwe wewe tu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei imesimama kwenye 180m hii price ina include nyumba kabisa.. plus kuna mabanda ya kuku unaweza fuga mpk kuku 500 na kuna tank la lita 5000 limeshajengewa kabisa juu.Mkuu niko serious sana tu. Sema na offer pia zizingatie maisha yetu ya kawaida ya kudunduliza dunduliza.
Eneo lina hati hilo?
Na bei imesimama vipi?
Hujanijibu kuhusu hati???!!!Bei imesimama kwenye 180m hii price ina include nyumba kabisa.. plus kuna mabanda ya kuku unaweza fuga mpk kuku 500 na kuna tank la lita 5000 limeshajengewa kabisa juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabwe pande ni ukifika Bunju B kuna njia inaenda huko hapana umbali Bajaji ni 500 tu kutoka Bunju B...bodaboda 1500, kama unaweza njoo upachek....kuhusu hati ipo kwenye process so hilo lisikupe shida sana.. Nichek whatsapp 0759870104 naona huku tunapishana Sana.Hujanijibu kuhusu hati???!!!
Hivi mabwepande ni njia ya kwenda wapi?
Hem tuma picha hapa au inbobo nisafishe macho.
daaa mbona vitisho vimeanza mapema, kuna usalama kweli!!
Jamani bado natafuta
Huku ndio wapi?.Mloganzila mkuu maeneo yapo
Sent using Jamii Forums mobile app