goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 416
- 567
Sina mengi ya kuzungumza, kama kichwa kinavyojieleza, ninatafuta watu wake kwa waume, ambao, wamechoka kuchangia harusi na birthday, bali wanataka kuchangia maendeleo yao na kesho yao, binafsi ni Mtaalamu wa Project Management pia nina certification kabisa ya PMI, ni vizuri ijulikane kuwa, ni aina gani ya mtu, anaongea kuhusu nini.
Natafuta wadau wenye uchu wa maisha, ambao tutakutana na kujadili mipango na kuanzisha miradi na biashara from the scratch, kuanzisha miradi kama ifuatayo.
1. Miradi ya kukopeshana na akiba
2. Kilimo, kununuwa na kuuza nafaka
3. Kuanzisha kindergartens mikoani
4. Kuanzisha makampuni ya usafi na ulinzi na miradi mingine mingi.
Vigezo:
1. Elimu kuanzia form four na kuendelea
2. Kuanzia miaka 18, na uwe unajitambua
3. Uwe mchapa kazi kweli
4. Viwango vitatolewa na utapata faida kulingana na ulivyo wekeza
5. Hatubagui kabila wala jinsia
Manufaa:
1. Bima ya afya kwa kila mwanachama
2. Gawio la faida kila baada ya miezi sita
3. Utakuwa secured kisheria
Angalizo:
Wanasema uoga wako ndio umasikini wako, umoja ni nguvu, tunahitaji wanachama zaidi ya 200, ifikie wakati hebu tulazimishe mabadiliko, pesa tunazo Watanzania lakini zinapotea bila kufanyie kazi yenye kuleta manufaa! Mengine yatajadiliwa kwa undani tutakapozidi kuendelea kwenda mbele! kwa walio tayali watume email humu, hybridprojectmanagement@gmail.com