goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 416
- 567
- Thread starter
- #21
ushauri unapokelewa! japo kuwa, hujajua ni idea gani inayo pelekea idadi hiyo ya watu!Ushauri wangu kwako
Anza kwanza na no 2 na 3.
Pia kuwe na watu wachache ambao wasizidi 5 au pungufu ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app