ushauri unapokelewa! japo kuwa, hujajua ni idea gani inayo pelekea idadi hiyo ya watu!Ushauri wangu kwako
Anza kwanza na no 2 na 3.
Pia kuwe na watu wachache ambao wasizidi 5 au pungufu ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe pia hujajua ni ugumu kiasi tunapata kutafuta hizo pesa za kuwekeza.ushauri unapokelewa! japo kuwa, hujajua ni idea gani inayo pelekea idadi hiyo ya watu!
[emoji23] jmnNawe pia hujajua ni ugumu kiasi tunapata kutafuta hizo pesa za kuwekeza.
dodge
Kila la kheriNawe pia hujajua ni ugumu kiasi tunapata kutafuta hizo pesa za kuwekeza.
dodge