samlai
Senior Member
- Feb 22, 2013
- 149
- 98
AMANI ya Bwana iwe nanyi.
Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987. Alikuwa Akiitwa Meck Msigwa.alikuwa akifanya Biashara ya Mchele na Maharage kutoka Mbeya kwenda Dar. Mara ya mwisho alipata Ajali akiwa anasafirisha Maharage.
Ndugu zake wengi walikuwa Njombe mmoja niliambiwa alikuwa anaduka kwenye kona ya kuelekea Benk ya NBC Njombe alikuwa na yeye akiitwa Msingwa miaka hiyo ya 90.
Kwa yoyote mwenye kuwafaham ani Pm shukran.