Mapumbu,ni kiungo halali cha binadamu mwenye jinsi ya MEKinyakyusa ndungu ni nini sijui
Unatia aibu!Kwahiyo unahamasika kuwatafuta ndugu wa baba yako baada ya kusikia wapo vizuri kiuchumi!?,umeshakuwa pambana hautapata urithi kizembe hivyo
Ha ha haa,aisee...umeandika live.Nipo kazin naomba niinbox tenaMapumbu,ni kiungo halali cha binadamu mwenye jinsi ya ME
AMANI ya Bwana iwe nanyi.
Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987 .alikuwa Akiitwa Meck Msigwa...